TANZANIA GOSPEL TEAM

Tanzania Gospel Team ni timu ya mpira wa miguu (football) na mpira wa mikono (netball). Timu hii iko nchini Tanzania mkoa wa Dar es Salaam wilaya ya Kinondoni, Sinza Afrikasana.

Timu imejumuhisha wachezaji kutoka makanisa mbalimbali ya Kikristo na hasa waimbaji, maproduza na watangazji wa radio za kikristo.

Lengo la kuanzisha timu hizi ni kumtangaza Kristo kwa njia ya michezo, kuwaunganisha wapendwa wa Bwana kutoka makanisa mbalimbali, kuweka urafiki na undugu, kuijenga miili ya wachezaji kiafya, kuburudisha, kuonyesha mshikamano na ushirikiano kati yetu, kujuana na kufahamiana.

Tangia timu ianze januari 2012 kumekuwa na maendeleo mazuri na watu wengi wamekuwa wakifika katika viwanja vyetu vya mazoezi vilivyooko Sinza Afrikasana katika shule ya Kentoni.  Mungu ametuwezesha kucheza na timu mbalimbali kama vile Dar City FC, Walabata, Pasi Mia, na zingine nyingi.

Tunaomba sana maombi yako ili tuweze kuwa na mafanikio kwa kucheza na timu kubwa kama Manchester, Arsenal, Liverpool, Yanga, Simba n.k

Tunaamini kwa Mungu kila kitu kinawezekana.  

PLAYED GAMES

MATOKEO YA MECHI

TANZANIA GOSPEL TEAM Vs DAR CITY FC
Tarehe: Machi 2012
Uwanja: Shule ya Kenton Sinza Afrikasana, Dar es Salaam
Mshindi: Dar City FC 5-0

------------------------------------------------------------------

TANZANIA GOSPEL TEAM Vs CALUARY
Tarehe: Machi 2012
Uwanja: Shule ya Kenton Sinza Afrikasana, Dar es Salaam
Mshindi: Tanzania Gosspel Team 1-0

------------------------------------------------------------------

TANZANIA GOSPEL TEAM Vs BOCO
Tarehe: Machi 2012
Uwanja: Shule ya Kenton Sinza Afrikasana, Dar es Salaam
Mshindi: Tanzania Gosspel Team 4-2

------------------------------------------------------------------

TANZANIA GOSPEL TEAM Vs UTUMISHI OFISI YA RAISI
Tarehe: Machi 2012
Uwanja: Shule ya Kenton Sinza Afrikasana, Dar es Salaam
Mshindi:

--------------------------------------------------

TANZANIA GOSPEL TEAM Vs TUMAINI TV
Tarehe: Machi 2012
Uwanja: Shule ya Kenton Sinza Afrikasana, Dar es Salaam
Mshindi: Tanzania Gospel Team 5-2

--------------------------------------------------

TANZANIA GOSPEL TEAM Vs TBC 1
Tarehe: Machi 2012
Uwanja: Shule ya Kenton Sinza Afrikasana, Dar es Salaam
Mshindi: TBC One  1-0

--------------------------------------------------

TANZANIA GOSPEL TEAM Vs WALABATA
Tarehe: Machi 2012
Uwanja: Shule ya Kenton Sinza Afrikasana, Dar es Salaam
Mshindi: Walabata  1-0

--------------------------------------------------

TANZANIA GOSPEL TEAM Vs VAN COVER
Tarehe: Machi 2012
Uwanja: Shule ya Kenton Sinza Afrikasana, Dar es Salaam
Mshindi: Tanzania Gosspel Team 5-0

Timu ya Van Cover

-----------------------------------------------------------------

TANZANIA GOSPEL TEAM Vs PASI MIA
Tarehe: Machi 2012
Uwanja: Shule ya Kenton Sinza Afrikasana, Dar es Salaam
Mshindi: Tanzania Gospel Team 4-2
Pasi Mia Team

--------------------------------------------------

TANZANIA GOSPEL TEAM Vs DAR CITY FC
Tarehe: 16 Machi 2012
Uwanja: Shule ya Kenton Sinza Afrikasana, Dar es Salaam
Mshindi: Tanzania Gospel Team1-0

 Timu ya Tanzania Gospel

Timu ya Dar City FC

------------------------------------------------------------------------------

WATANGAZAJI WA RADIO ZA INJILI Vs WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI TANZANIA
Tarehe: February 2012
Uwanja: Sayansi, Dar es Salaam
Washindi: 

------------------------------------------------------------------------------

TANZANIA GOSPEL TEAM Vs KOTA FC
Tarehe: 25 Machi 2012
Uwanja: Shule ya Kenton Sinza Afrikasana, Dar es Salaam
Mshindi: Kota FC 4-2

Timu ya Tazania Gospel

Timu ya KOTA FC 
------------------------------------------------------------------------------

TANZANIA GOSPEL TEAM Vs WAZO FC
Tarehe: 31 Machi 2012
Uwanja: Shule ya Kenton Sinza Afrikasana, Dar es Salaam
Mshindi: Tanzania Gospel Team 4-3

Tanzania Gospel Team waliovalia uzi mweupe
Wazo TeaTimu ya Wazo, waliovalia uzi wa kijanim